Wednesday, 8 June 2016

Mastaa ambao watabeba jeneza la bondia Muhammad Ali wakati wa mazishi

Bondia wa zamani wa uzito wa juu Lennox Lewis ambaye amewahi kushinda mwanamichezo bora wa mwaka BBC 1999 pamoja na Muhammad Ali aliyepewa tuzo ya mwamichezo bora wa karne, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaobeba jeneza la Muhammad Ali.

No comments:

Post a Comment