Manchester United inakaribia kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund
Henrikh Mkhitaryan (27)baada ya makubalino na klabu hiyo kwa dau la euro mil.26.3
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Armenia amekubaliana na masharti yote kupitia mwakilishi wake na ataanza vipimo wiki ijayo.
| Henrikh Mkhitaryan |