Kocha wa Brazil ambaye pia ni Nahodha wa zamani wa timu hiyo amesema hohofii kibarua chake baada kutolewa nje ya michuano ya Copa America na Peru kwa Idadi ya goli 1-0.
Dunga amesisitiza kutohofia kibarua chake kwa ksema "Naogopa kifo tu."
Brazili ilitolewa kwa goli la mkono kama unavoona katika picha
Brazili ilitolewa kwa goli la mkono kama unavoona katika picha
BBCsports.com
No comments:
Post a Comment