Pata habari za kitaifa, kimataifa, na michezo na burudani
Pages
▼
Wednesday, 8 June 2016
Mastaa ambao watabeba jeneza la bondia Muhammad Ali wakati wa mazishi
Bondia wa zamani wa uzito wa juu Lennox Lewis ambaye amewahi kushinda mwanamichezo bora wa mwaka BBC 1999 pamoja na Muhammad Alialiyepewa tuzo ya mwamichezo bora wa karne, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa watakaobeba jeneza la Muhammad Ali.
No comments:
Post a Comment