Manchester
United inakamilisha mipango ya kumfanyia vipimo mshambuliaji wa timu ya taifa
ya Swiden Zlatan Ibrahimovic baada ya makubaliano na mchezaji huyo.
Vipimo vimepangwa kufanyika baada
ya Michuano ya ulaya 2016, baada ya makubaliano ya mwisho kabla ya kusaini
mkataba wa mwaka mmoja na mashetani hao wekundu wa Old Trafford.
mkataba wa mwaka mmoja umekubalika
baada ya mazungumzo baina ya wakala ya mchezaji huyo Mino Raiola na naibu
mwenekiti wa Man. United Ed Woodward yaliyofanyika wiki hii.
| IBRAHIMOVIC |
No comments:
Post a Comment