Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Italia Graziano Pelle amethibitisha kucheza mechi ya Kundi E itakayopigwa siku ya Ijumaa dhidi ya Sweden baada ya kupona jereha la mguu katika mechi ya ufunguzi ya michuano ya Ulaya 2016 dhidi ya Belgium iliyochezwa Jumatatu.
Pele ambaye aliifungia timu yake goli la pili katika ushindi wa 2-0 ,aliumia mguu na kukosa kufanya mazoezi siku ilifatia.
| Graziano Pelle(Super Sport) |
No comments:
Post a Comment