Manchester United itatakiwa kulipa kitita cha Euro 78m kupata saini ya kiungo Paul Pogba (23) anaekipiga kule nchini Italia akiwa na Clabu ya kibibi kizee Juventus. Ni miaka mine hivi tangu mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa aondoke Old Traford kwa uhamisho wa Euro 800,000
Man City wamejitoa kwenye mbio za kumsajili kiungo huyo



ndugu uko vzuri
ReplyDeletehahaha thanks we test if it works
DeleteHAHAHAA at least sir Khalifax Sayed
ReplyDelete