Pages

Thursday, 9 June 2016

KAUZA KANUNUA TENA ,MAN U ITOE EURO 78m KUNASA SAINI YA POGBA

Manchester United itatakiwa kulipa kitita cha Euro 78m kupata saini ya kiungo Paul Pogba (23) anaekipiga kule nchini Italia akiwa na Clabu ya kibibi kizee Juventus. Ni miaka mine hivi tangu mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa aondoke Old Traford kwa uhamisho wa Euro 800,000
Man City wamejitoa kwenye mbio za kumsajili kiungo huyo

Daily MirrorDaily MirrorDaily Mirror

3 comments: