Pages

Monday, 27 June 2016

KIUNGO DORTMUN KUMFATA ZLATAN MAN.U

Manchester United inakaribia kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund Henrikh Mkhitaryan (27)baada ya makubalino na klabu hiyo kwa dau la euro mil.26.3
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Armenia amekubaliana na masharti yote kupitia mwakilishi wake na ataanza vipimo wiki ijayo.

Image result for Henrikh Mkhitaryan
Henrikh Mkhitaryan

MESSI AIKOSESHA UBINGWA ARGENTINA



Nahodha wa timu ya Argentina na mshambuliaji wa klabu ya Barcelona lionel Messi(29) ameikosesha timu yake ubingwa wa Copa America baada ya kukosa penalt na kuifanya Chile kutwaa kombe hilo mara mbili mfululizo.

Argentina ilifungwa 4-2 katika hatua ya penalt baada ya kutoshana nguvu bila kufungana kwenye dakika za awali."ni majonzi makubwa kwa mara nyengine na nimekosa penalt muhimu" alisema Messi kwenye chumba cha kubadilishia nguo
Image result for messi
 lionel Messi


ARSENE WENGER: LUKAKU ANANIFAA

Katika kujiimarisha kwa ajili ya msimu ujao EPL Arsenal imesema kuwa inamtaka kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Everton na mchezaji wa kimataifa wa Ubelgiji Romelu Lukaku mwenye umri wa miaka 23
Could Arsene Wenger swoop for Everton's Romelu Lukaku?
 Romelu Lukaku 

IBRAHIMOVIC KUANZA VIPIMO MAN.U

Zlantan Ibrahimovic anatarajiwa kuwasili Manchester United kwa ajili ya vipimo wiki ijayo.
Ibrahimovic  ambayo amejiuzulu katika timu yake ya taifa Sweden baada ya kutolewa katika hatua ya makundi kwenye michuano ya Euro 2016 atasain mkataba wa mwaka mmoja baada ya kukamilisha vipimo.


Zlatan Ibrahimovic is set to join Manchester United
Ibrahimovic

MANE KUANZA VIPIMO LIVERPOOL

Mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane anatarajiwa kuanza vipimo katika klabu ya Liverpool siku ya jumatatu baada ya makubaliano ya Euro mil.30 kama ada ya uhamisho kutoka Southampton

Sadio Mane (24) ambaye ni raiya wa Senegal anaonekana kuwa tumaini kubwa katika safu ya ushambuliaji Afield. 
Sadio Mane could be leaving Southampton for Liverpool
Sadio Mane

STERLING KUANZA DHIDI YA ICELAND LEO

Kocha wa timu ya England Roy Hodgson ametangaza safu yake ya ushambuliaji katika kikosi chake kitakachoivaa Iceland leo hii katika michuano ya Euro 2016.
Safu ya ushambuliaji inatarajiwa kujumuisha wachezaji kama  Harry Kane, Daniel Sturridge and Sterling, huku Adam Lallana akiwa benchi katika mchezo utakao chezwa kwenye uwanja wa  Allianz Riviera majira ya saa 22:00

Mchezo mwengine leo ni kati ya Italy na Spain utaochezwa mapema saa 19:00 kwenye uwanja wa Stade de France
STERLING

Monday, 20 June 2016

MINONG'ONO YA UHAMISHO ULAYA KAMA INAVOONEKANA HAPO CHINI

Mchezaji Klabu anayotakiwa          
Daley Blind Arsenal
Stevan Jovetic Inter Milan
Moussa Dembele Fulham
Rob Holding Bolton
Nolito Celta Vigo
Sofiane Boufal Lille
Riyad Mahrez Leicester City
Juan Quintero Porto
Karim Benzema Real Madrid
Elseid Hysaj Napoli
Dimitri Payet West Ham
Henrikh Mkhitaryan Dortmund
Gonzalo Higuain  Napoli 

POGBA KUJIUNGA NA REAL MADRID


WAKALA wa Paul Pogba amethibitisha kuwa ameanza mazungumzo na Real Madrid kuhusu uhamisho wa Pogba.

wakala wake  Mino Raiola amesema ameanza mazungumzo na klabu tatu ambazo ziko tayari kumsajili kiungo huyo ambae mkataba wake unaishia mwaka 2019 miongoni mwa timu hizo moja wapo ni Mabingwa wa Ulaya Real Madrid.

"tumeanza maongezi lakini hakuna kilichoafikiwa hadi sasa" alisema Mino Raiola


Paul Pogba

WENGER AMKATIA TAMAA VARDY

KOCHA wa Arsenal Arsene Wenger amesema
mshambuliaji wa Leicester City Jamie Verdy hawezi kujiunga na washika bunduki wa London badala yake atapendelea kubaki Leicester City.

Jamie Vardy

Thursday, 16 June 2016

VALENCIA YAKATAA OFA YA CHELSEA



Chelsea wamekataliwa dau lao la Euro mil.32 na Valencia kwa ajili ya uhamisho wa Adre Gomes
Valencia wanataka dau hilo lipande hadi kufikia Euro mil 42, lakini Chelsea haina mpango wa kuongeza dau kwa sasa .

Image result for ANDRE GOMES
Andre Gomes

PEDRO ARUDI BARCELONA

Mshambuliaji wa Chelsea Pedro amesema ameanza mazungumzo ya awali kuhusu kurudi  Barcelona baada ya msimu mmoja tu Darajani (Stamford Bridge)
Pedro mwenye miaka 28  aliondoka Barcelona kwa uhamisho wa Euro mil.22 kuelekea Chelsea msimu uliopita huku akishindwa kuonyesha kiwango chake kwenye ligi kuu ya England


Image result for pedro
Pedro

GUARDIOLA KUMLETA VALDES MAN.CITY

Kwa mujibu wa sky sports ,Guardiola ameongea na kipa wake wa zamani Victor Valdes kuhusu uhamisho wa kumleta Manchester City, licha ya kuwa na wakati mgumu wa miezi 18 akiwa na klabu ya Manchester United.

Image result for valdes
Valdes

GUARDIOLA KUMLETA VALDES MAN.CITY



Kwa mujibu wa sky sports ,Guardiola ameongea na kipa wake wa zamani Victor Valdes kuhusu uhamisho wa kumleta Manchester City, licha ya kuwa na wakati mgumu wa miezi 18 akiwa na klabu ya Manchester United.
Victor Valdés in action for Barcelona. The veteran goalkeeper could be on his way to Manchester City, and a reunion with Pep Guardiola, ahead of the new season.