Monday, 27 June 2016

STERLING KUANZA DHIDI YA ICELAND LEO

Kocha wa timu ya England Roy Hodgson ametangaza safu yake ya ushambuliaji katika kikosi chake kitakachoivaa Iceland leo hii katika michuano ya Euro 2016.
Safu ya ushambuliaji inatarajiwa kujumuisha wachezaji kama  Harry Kane, Daniel Sturridge and Sterling, huku Adam Lallana akiwa benchi katika mchezo utakao chezwa kwenye uwanja wa  Allianz Riviera majira ya saa 22:00

Mchezo mwengine leo ni kati ya Italy na Spain utaochezwa mapema saa 19:00 kwenye uwanja wa Stade de France
STERLING

No comments:

Post a Comment