Monday, 20 June 2016

POGBA KUJIUNGA NA REAL MADRID


WAKALA wa Paul Pogba amethibitisha kuwa ameanza mazungumzo na Real Madrid kuhusu uhamisho wa Pogba.

wakala wake  Mino Raiola amesema ameanza mazungumzo na klabu tatu ambazo ziko tayari kumsajili kiungo huyo ambae mkataba wake unaishia mwaka 2019 miongoni mwa timu hizo moja wapo ni Mabingwa wa Ulaya Real Madrid.

"tumeanza maongezi lakini hakuna kilichoafikiwa hadi sasa" alisema Mino Raiola


Paul Pogba

No comments:

Post a Comment