Zlantan Ibrahimovic anatarajiwa kuwasili Manchester United kwa
ajili ya vipimo wiki ijayo.
Ibrahimovic ambayo
amejiuzulu katika timu yake ya taifa Sweden baada ya kutolewa katika hatua ya
makundi kwenye michuano ya Euro 2016 atasain mkataba wa mwaka mmoja baada ya
kukamilisha vipimo.
| Ibrahimovic |
No comments:
Post a Comment