Wednesday, 15 June 2016

IBRAHIMOVIC KUFANYIWA VIPIMO BAADA YA EURO 2016 KUJIUNGA NA MAN.U

Manchester United inakamilisha mipango ya kumfanyia vipimo mshambuliaji wa timu ya taifa ya Swiden Zlatan Ibrahimovic baada ya makubaliano na mchezaji huyo.
Vipimo vimepangwa kufanyika baada ya Michuano ya ulaya 2016, baada ya makubaliano ya mwisho kabla ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na mashetani hao wekundu wa Old Trafford.
mkataba wa mwaka mmoja umekubalika baada ya mazungumzo baina ya wakala ya mchezaji huyo Mino Raiola na naibu mwenekiti wa Man. United  Ed Woodward yaliyofanyika wiki hii.
Image result for ibrahimovic
IBRAHIMOVIC

No comments:

Post a Comment