Mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane anatarajiwa kuanza vipimo
katika klabu ya Liverpool siku ya jumatatu baada ya makubaliano ya Euro mil.30
kama ada ya uhamisho kutoka Southampton
Sadio Mane (24) ambaye ni raiya wa Senegal anaonekana kuwa
tumaini kubwa katika safu ya ushambuliaji Afield.
| Sadio Mane |
No comments:
Post a Comment