Katika Tenisi tunasubiri kuona iwapo
Maria Sharapova atakata Rufaa kupinga kufungiwa miaka miwili baada ya
kugundulika kwamba alitumia dawa za kusisimua misuli.
Maria
ameanza kujitetea kuwa alikuwa anatumia Dawa ya Meldonium kwa ajili
tatizo la kiafya alilogundulika nalo tangu akiwa na miaka 17 lakini
aliyejua ni baba na wakala wake tu, hata madaktari hawakuwa
wamefahamishwa.Awali dawa hizo hazikuwa katika Orodha ya Dawa zilizozuiliwa mpaka hapo zilipoongezwa mapema mwaka huu.
No comments:
Post a Comment