Tuesday, 27 September 2016

HABARI ZA KIMATAIFA



MTOTO WA KWANZA MWENYE WATOTO WATATU AZALIWA

Wanasayansi nchini Marekani wanasema mtoto wa kwanza kwa kutumia  mbinu mpya ya uzazi watu watatu.jarida jipya la mwanasayansi linasema mtoto wa kiume ambaye kwa sasa anaumri wa miezi mitano amezaliwa na wazazi wa Jordan, amabo walikuwa wakitibiwa na madaktari wa Marekani nchini Mexico ikiwa michakato hiyo haijaidhinishwa nchini Marekani. Mbinu hiyo inajumuisha kuondoa viini vya mayai ya mwanamama mmoja ,na kuviingiza kwenye yai jengine ambalo pia lilitolewa viini. Yai hilo badae likafanyiwa uchavushaji kwa kutumia mbegu ya mwanamme.mchakato huo uliweza kuruhusu wazazi wote pamoja na mabadilio machache ya kizazi ili kuepuka kuvigawa kwenye watoto wao. Mbinu tofauti zilitumika hapo awali zikijumisha vipimo vya kinasaba vya watu watatu 
 

 NCHI ZA AMERIKA KUTOKOMEZA SURUA

Shirika la afya Duniani limetangaza kutokomezwa kwa surua katika nchi za Amerika, ili kuzifanya kuwa kanda za mwanzo duniani kutokomeza ugonjwa huo. Mkurugenzi wa shirika hilo Margaret Chan,alielezea matokeo matokeo ya miongo ya jitihada za chanjo ikiwa ni mafanikio yaliyobora.Bi Chan na maafisa wengine kutoka shirika la Afya la Pan-Amerika wanasherekea mafanikio hayo kwa kukata keki iliyopambwa kwa kibonzo cha seli ya kirusi cha surua kiliyoduwaa, ikiambatana na ujumbe wa maneno unayosomeka kwaheri surua na rubella.

No comments:

Post a Comment