Wednesday, 14 September 2016

KANGAROO FOOTBALL CLUB

Ni timu ya vijana wa Kawe Ukwamani, Hucheza michezo ya kirafiki kila siku ya Jumapili. Makao makuu ya timu ni Kiwango Store kwa Dulayo Kawe Ukwamani. Ukihitaji mchezo wa kirafiki tafadhali wasiliana na Afsa habari wa timu Kangaroo F.C Herbet Ali kwa simu namba 0658012305 au Mkurugenzi Mtendaji wa timu Abdallah Ali 0713172850 au nahodha wa timu Abdoul Ali 0718303203

Kangaroo Football Club

No comments:

Post a Comment