Ripoti kutoka Israel zinasema afya ya
mwanasiasa na Rais mstaafu Shimon Peres inaendelea
kuzorota.Ndugu wa karibu wamenda hospitali ambako amekuwa huko tangu alipouguwa
kiharusi wiki mbili zilizopita. Shimon Peres amelitumikia taifa la Israel kwa
kipindi cha miongo miwili tofauti akiwa kama waziri mkuu na Rais wa taifa hilo.
Alishinda tuzo ya Amani kwa chama chake kwa sera zake za
kisiasa na Palestina kwenye miaka ya 1990. Ni miongoni mwa kizazi cha mwisho
cha wanasiasa wa Israel amabao wawahi kuwa Marais wakati wa kuzaliwa kwa taifa
jipya mwaka 1948.
No comments:
Post a Comment