MTOTO WA KWANZA MWENYE WATOTO WATATU AZALIWA
Wanasayansi nchini Marekani
wanasema mtoto wa kwanza kwa kutumia mbinu
mpya ya uzazi watu watatu.jarida jipya la mwanasayansi linasema mtoto wa kiume
ambaye kwa sasa anaumri wa miezi mitano amezaliwa na wazazi wa Jordan, amabo
walikuwa wakitibiwa na madaktari wa Marekani nchini Mexico ikiwa michakato hiyo
haijaidhinishwa nchini Marekani. Mbinu hiyo inajumuisha kuondoa viini vya mayai
ya mwanamama mmoja ,na kuviingiza kwenye yai jengine ambalo pia lilitolewa
viini. Yai hilo badae likafanyiwa uchavushaji kwa kutumia mbegu ya mwanamme.mchakato
huo uliweza kuruhusu wazazi wote pamoja na mabadilio machache ya kizazi ili kuepuka kuvigawa kwenye watoto wao. Mbinu tofauti
zilitumika hapo awali zikijumisha vipimo vya kinasaba vya watu watatu
NCHI ZA AMERIKA KUTOKOMEZA SURUA
Shirika la afya Duniani limetangaza kutokomezwa kwa surua katika nchi za
Amerika, ili kuzifanya kuwa kanda za mwanzo duniani kutokomeza ugonjwa huo. Mkurugenzi wa shirika
hilo Margaret Chan,alielezea matokeo matokeo ya miongo ya jitihada za chanjo
ikiwa ni mafanikio yaliyobora.Bi Chan na maafisa wengine kutoka shirika la Afya
la Pan-Amerika wanasherekea mafanikio hayo kwa kukata keki iliyopambwa kwa
kibonzo cha seli ya kirusi cha surua kiliyoduwaa, ikiambatana na ujumbe wa maneno
unayosomeka kwaheri surua na rubella.
No comments:
Post a Comment