Pata habari za kitaifa, kimataifa, na michezo na burudani
Pages
▼
Thursday, 16 June 2016
GUARDIOLA KUMLETA VALDES MAN.CITY
Kwa mujibu
wa sky sports ,Guardiola ameongea na kipa wake wa zamani Victor Valdes kuhusu
uhamisho wa kumleta Manchester City, licha ya kuwa na wakati mgumu wa miezi 18
akiwa na klabu ya Manchester United.
No comments:
Post a Comment