Pata habari za kitaifa, kimataifa, na michezo na burudani
Pages
▼
Thursday, 16 June 2016
VALENCIA YAKATAA OFA YA CHELSEA
Chelsea wamekataliwa dau lao la Euro mil.32
na Valencia kwa ajili ya uhamisho wa Adre Gomes Valencia wanataka dau hilo lipande hadi
kufikia Euro mil 42, lakini Chelsea haina mpango wa kuongeza dau kwa sasa .
No comments:
Post a Comment