Pata habari za kitaifa, kimataifa, na michezo na burudani
Pages
▼
Monday, 27 June 2016
MESSI AIKOSESHA UBINGWA ARGENTINA
Nahodha wa timu ya Argentina na mshambuliaji wa klabu ya Barcelona lionel Messi(29) ameikosesha timu yake ubingwa wa Copa America baada ya kukosa penalt na kuifanya Chile kutwaa kombe hilo mara mbili mfululizo.
Argentina ilifungwa 4-2 katika hatua ya penalt baada ya kutoshana nguvu bila kufungana kwenye dakika za awali."ni majonzi makubwa kwa mara nyengine na nimekosa penalt muhimu" alisema Messi kwenye chumba cha kubadilishia nguo
No comments:
Post a Comment