Kocha
wa timu ya England Roy Hodgson ametangaza safu yake ya ushambuliaji katika kikosi
chake kitakachoivaa Iceland leo hii katika michuano ya Euro 2016.
Safu ya ushambuliaji inatarajiwa kujumuisha wachezaji kama Harry Kane, Daniel Sturridge and Sterling, huku
Adam Lallana akiwa benchi katika mchezo utakao chezwa kwenye uwanja wa Allianz Riviera majira ya saa 22:00
Mchezo mwengine leo ni kati ya Italy na Spain utaochezwa mapema
saa 19:00 kwenye uwanja wa Stade de France
| STERLING |
No comments:
Post a Comment