Pata habari za kitaifa, kimataifa, na michezo na burudani
Pages
▼
Thursday, 9 June 2016
COUNTINHO APIGA HAT TRICK BRAZILI IKISHINDA 7-1 DHIDI YA HAITI
Philippe Coutinho amefunga hat trick yake ya kwanza kwenye michuano ya kimataifa na kuisaidia timu yake ya Brazili kupata ushindi wa magoli 7-1 dhidi ya Haiti katika mchezo uliochezwa usiku wa Jumatano kwenye michuano ya Copa America
No comments:
Post a Comment