Pages

Monday, 13 June 2016

Copa America: URUGUAY KIAYOLAIYOLA YAANI SHINGO UPANDE

Bingwa mara 15 wa Copa America Uruguay ametupwa nje ya michuano hiyo baada ya kukubali kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Venezuela katika mchezo uliopigwa Philadelphia.

Mshambuliaji wa klabu ya West Bromwich Albion ya nchini Uingerza Salomon Rondon ndie aliyezima ndoto ya Uruguay kutinga robo fainali ya michuano hiyo na kuisaidia timu yake kusonga mbele kwa bao pekee aliloshida.

Salomon Rondon goal BBCsports

No comments:

Post a Comment