Ligi kuu England imeendelea hapo jana kwa mchezo mmoja kati ya Sunderland na Everton huku Everton ikia ugenini ilibuka na ushindi wa magoli matatu kwa sifuri. Nyota wa mchezo huo alikuwa ni mshambuliaji Romelu Lukaku akipachika kimyani magoli yote matatu na kuandika hat-trick ya kwanza kwa msimu huu. Matokeo hayo yanaipandisha Everton hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 10.
 |
| Romelu Lukaku |
No comments:
Post a Comment