Pages

Wednesday, 15 June 2016

TONI KROOS NA MWAKA MMOJA KATIKA NDOA

'Mwaka mmoja uliopita nilimuoa mwanamke wa kipekee duniani.Ni furaha kuwa nawe ubavuni wangu. Asante! Nakupenda'

‘One year ago I married the most special woman in the world. It's a joy to have u by my side. Thank you! I love you!

Nikama shairi fulani hivi ila ndo ivo kiungo wa Timu ya taifa ya Ujerumani na Klabu ya Real Madrid anatimiza mwaka mmoja wa furaha katika ndoa.

Wewe unatimiza mwaka wa ngapi

 Toni Kroos na mkewe Jessica Farber wakati wa arusi yao 13 June 2015

No comments:

Post a Comment