Pages

Friday, 10 June 2016

JE, UJIO WA JOSE MOURINHO NDIO MWISHO WA UBAGUZI KWA WACHEZAJI WEUSI MAN.U

Kwa muda mrefu klabu ya Mashetani wekundu wa jiji la London wameuwa wakihusishwa na ubaguzi wa wachezaji weusi hussusan wale kutoka bara Africa. Ni zaidi ya miaka saba haijawahi kushuhudiwa mchezaji yeyote yule wa kiafrika kuchezea Man.U

Hata Paul Pogba alihama Man.U mwaka 2012 kwa kukosa kupagwa kwenye kikosi cha Ferguson.

Kwasasa Meneja mpya mreno Jose Mourinho ndie atakaekinoa kikosi hicho. Sera zake zinaonekana kutia kipaombele zaidi kwa wachezaji weusi.

No comments:

Post a Comment