Everton imemthibitisha Ronald Koeman kuwa kocha wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu.
Everton wamekuwa hawana kocha tangu walipomtimuwa Roberto Martinez kabla ya msimu wa 2015/16 kumalizika.
Nae kocha mteule Koeman amesema kuwa Everton ni klabu iliyo na historia kubwa pamoja na malengo ya kweli.
Taarifa rasmi ilichelewa kidogo hadi pale Koeman aliporudi kutoka likizo.
| RONALD KOEMAN |
No comments:
Post a Comment